Unafika hadi Kenya sembuse hapo tu zenji
afya tupu.
Kama ulilala peke yako usiku mzima kwenye hii hotel hujatenda haki... Hii inaitwa matumizi mabaya ya rasilimaliBreakfast (Verde Hotel)View attachment 1086730
Labda alilala na NJAA?!?Kama ulilala peke yako usiku mzima kwenye hii hotel hujatenda haki... Hii inaitwa matumizi mabaya ya rasilimali
Chief heshima yako... naomba tu niseme nipo na mchuchu.Kama ulilala peke yako usiku mzima kwenye hii hotel hujatenda haki... Hii inaitwa matumizi mabaya ya rasilimali
Loh! Si ajabu umeweka na sukari
Utafika mbinguni... Umetenda haki... kapicha japo ka guu basi