Uzi wa vitu feki tulivyonunua. Tunataka wengine wasinunue. Tupia picha

Kuna huduma pale kimboka ya wadada wanaouza nyau ni fake service,haiwezekani mtu umlipe ili umle mzgo anakuambia mbona hukojoi na anatishia kuondoka wakati ww wazungu ni kwanza wapo kitonga. Tunaomba serikali watusaidie Kwa hili.mitano tenaaaaa
 
Subwoofer za mr UK (made in Tz) ni fake fake fake. Ina katransfomer kadogo kama kikasha cha kiberiti. Niliitumia miezi mitatu tuu ikaanza kupata moto na kukoroma mwishowe ikafa. Ikabidi ninunue SeaPiano zile za zamani used kwa mtu. Huu mwaka wa pili sasa na inafunguka sasa na ina transformer kubwa sana kwa nyuma
View attachment 1662475
kikubwa kama unataja subweoof chagua yenye transformers kubwa
 
Hizi blenda za mkono za jwisi za matunda ni fake. Unapata jwisi kidogo sana haikamui vya kutosha. Inawahi kumeguka mbele na kitako chake hakinasi mezani.
 
Attachments

  • IMG_20210125_095610.jpg
    IMG_20210125_095610.jpg
    116.9 KB · Views: 9

Back
Top Bottom