Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,560
- 188,751
- Thread starter
- #21
Movie/Series zenye maudhuhi ya time travel huwa zinachanganya wengi.Ni kichwa tu tenet imejaa past na future kuna vitu mule vinarudi nyuma badala ya kwenda mbele muvi hii utulie na umakini uielewe kama ujaelewa basi kaaze na 2.22