Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Kwa kweli ni kitambo sana, naona kama miaka hivi. Bora umerudi hewani kwa kweli tulimiss stori, Umbea, Habari mbalimbali hata Elimu na maarifa tulimiss sana.
 
Niliwamisi sana hawa watu.

Demiss
Mzigua90 kwa sababu ya ile chura yako.
Mama sabrina
Miss Chagga
Miss natafuta
Mshana jr.
Hajar
Hearly mshikaji wangu from moro town
Mwifwa.


Na wengine kibao tu .

Ongera kwako maxence melo na uongozi wa jamii forum kwa ujumla hakika forum yetu ni zaidi ya kijiwe cha kahawa ilivyopotea basi kila kitu kilikuwa gizani.

Smatphone yangu haikuwa chochote bila jamii forum nilijihisi sina tofauti na wale wa kijijini wanaosubiria taarifa ya habari kutoka TBC peke yake.

Hakika tunajivunia uwepo wenu.
 
Back
Top Bottom