RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,824
Ingependeza rangi ya mkanda ifanane na ya kiatu.View attachment 722125
Ungenoga kama zikitupiwa za real life....
Ingependeza rangi ya mkanda ifanane na ya kiatu.View attachment 722125
Ungenoga kama zikitupiwa za real life....
Leta tu hata wewe saiv natupia ninayo mengi
SIJAIELEWA KABISAKivipi
Ukiweka na hii unapendezaView attachment 722117
Huyo mwenye suruali ya navy kafanana na mtu....View attachment 722125
Ungenoga kama zikitupiwa za real life....
Eèeeh hebu mwaga mchele hadharani...Huyo mwenye suruali ya navy kafanana na mtu....
Hahahaaa hapana yaisheEèeeh hebu mwaga mchele hadharani...
Tunguli zinapiga kazi ipasavyo, hapo umenipatia sana
Ukianzisha Uzi Wa bukta unishtue
wewe bwana we suruali gani hiyosuruali hiyo ya ukweli
Apa umeteka rohoo yanguHumble African View attachment 721516
NaniiiiHuyo mwenye suruali ya navy kafanana na mtu....
Yupo tu mtu mmoja ana tumiguu twa hivyo.Naniiii
NishamjuaaYupo tu mtu mmoja ana tumiguu twa hivyo.
Nishaona wanawake abroad wanatupia, taste ya AsiansNa hii je?View attachment 721525
Yenyewe io, tena kasimama mguu sawa
Yenyewe iyo au kaeka mtwangio?