Uzi wa kutupia picha za suruali za kiume !!!

umenipatia sanaa hapa... ila nilipo zungushia red ndio hua sana, izo pigo zingine kwa mwaka mala 4

jf.png



Ukiweka na hii unapendezaView attachment 722117
 
Humu naona slim fit na don't touch nasubiri bugaluu na pekosi. Kwa wale shikamoo jazz wenzangu wamenielewa.
 
Aisee ndio maana siku hizi napata taaabu sana, kupata demu mbichi mbichi kumbe napiga zile za kiutuzima vile. Maana sina hata moja ya picha zilipostiwa mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom