Uzi wa kutupia picha za suruali za kiume !!!

Yesuuuuu Ruahhhh!!!!
Mpe mmeo iyo aendee kilingeni
looh hunipendi kabisa ya shemeji hiii hapa
image_search_1521650688661.jpg
 
hizi modo nzuri ila kama una mguu wa mtoto mdogo hapa kati ni noma hasa ukiwa umepanda mwendo kasi.. inabidi mda wote uwaze vyuma kukaza na mkono mfukoni au ushuke na begi lipo mbele kama zipu imeachia..
Na hii je
image_search_1521650716513.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom