Uzi wa kutupia majengo makali yaliyo ndani ya ndoto zetu

Antennah

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
6,598
8,439
Kila mmoja wetu humu kuanzia kijana mdogo mpka kijana Wa makamo, mpka Mzee ana ndoto ya kuishi maisha mazuri na kumiliki Mjengo mkali Wa aina yoyote atayopendelea kwa uwezo Wa mfuko wake.

Mimi ni mmoja wao ndo mana huwa napenda kuperuzi sehemu mbali mbali kucheki mijengo ya maana ya wenzetu ambao tayari wameshatimiza ndoto hizo....

Haya ni baadhi ya mejengo makali sana niliyovutiwa nayo..

Na wew waweza kutuwekea hapa majumba makali uliowahi kuyaona na unandoto za kuja kuwa mmliki Wa majumba hayo.
IMG_20190522_130432.jpeg
Screenshot_20190522-130334.jpeg
Screenshot_20190522-130322.jpeg
Screenshot_20190522-130247.jpeg
Screenshot_20190522-130234.jpeg
Screenshot_20190522-130134.jpeg
Screenshot_20190522-130052.jpeg
Screenshot_20190522-130029.jpeg
Screenshot_20190522-125942.jpeg
Screenshot_20190522-130211.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20190522-125920.jpeg
    Screenshot_20190522-125920.jpeg
    48.6 KB · Views: 66
Mijengo iko poa..ila inategemea na mazingira utakayojengea..vioo vingi Sana hapo..na Mara nyingi zinapendeza zikiwa juu either ya fukwe au mlima fulani..all in all tutafute pesa inawezekana..
 
True
Mijengo iko poa..ila inategemea na mazingira utakayojengea..vioo vingi Sana hapo..na Mara nyingi zinapendeza zikiwa juu either ya fukwe au mlima fulani..all in all tutafute pesa inawezekana..
 
I
tapatalk_1567882675185.jpeg
 

Attachments

  • tapatalk_1567881307223.jpeg
    tapatalk_1567881307223.jpeg
    45.6 KB · Views: 24
  • tapatalk_1567882004708.jpeg
    tapatalk_1567882004708.jpeg
    83.7 KB · Views: 22
  • tapatalk_1567881450011.jpeg
    tapatalk_1567881450011.jpeg
    89 KB · Views: 21
Back
Top Bottom