Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

Hahahaaa wala sio wivu bibie.. kama ungekya serious ungemruhusu aje pm, Unamchoresha kijana wa watu humu afu wamuona ndina tu!. Wanaopendana humu jf Kiukweli huwezi kuta sehemu humu wanaitana baby wala kufatana fatana wapo kimya kimya na wapigana shoo kama kawaida.
Sasa jamaa kaendelea tu kuita bebi kumbe kuna midune mingine inakuja kwako kimya kimya inakula raha...
Siwezi ona wivu mm maana ni vitu nimefanya humu na wengi. Afu sikuona faida yake (hata kukutana) afu wale ambao sijawahi hata kuita bebi humu ndo napata zaidi ya kuwaita bebi (u know what to imeaan (
wewe utakua muhaya tu, maana unajisifia Sana,
utaaibika pale wasichana wa jf uliowatongoza na kukupiga kibuti watakapo screenshot message zako na kuweka Mambo hadharani
 
Mmh FUNDI MAIKO huyu....
tapatalk_1559275218585.jpeg
 
Back
Top Bottom