Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,677
- 106,780
Acha kuweweseka na wake za watu mkuu.. unapoteza muda wako afu girl anakuchora tu..Pole sana kwa hilo mpendwa wangu ingawa naamini Mungu atatia wepesi katika majukumu yako. I'm in your side my love.
Don't forget that, "You have one (I) for you"
Nice night...