Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

.
tapatalk_1569379024311.jpeg
 
Hahahaaa wala sio wivu bibie.. kama ungekya serious ungemruhusu aje pm, Unamchoresha kijana wa watu humu afu wamuona ndina tu!. Wanaopendana humu jf Kiukweli huwezi kuta sehemu humu wanaitana baby wala kufatana fatana wapo kimya kimya na wapigana shoo kama kawaida.

Sasa jamaa kaendelea tu kuita bebi kumbe kuna midune mingine inakuja kwako kimya kimya inakula raha...

Siwezi ona wivu mm maana ni vitu nimefanya humu na wengi. Afu sikuona faida yake (hata kukutana) afu wale ambao sijawahi hata kuita bebi humu ndo napata zaidi ya kuwaita bebi (u know what to imeaan (
Wewe umemuelewa vibaya tuu wala hana lengo unalowaza wewe mdogo wangu!
Kwani wangapi naitana nao kiroho safi tuu!
 
Hahahaaa wala sio wivu bibie.. kama ungekya serious ungemruhusu aje pm, Unamchoresha kijana wa watu humu afu wamuona ndina tu!. Wanaopendana humu jf Kiukweli huwezi kuta sehemu humu wanaitana baby wala kufatana fatana wapo kimya kimya na wapigana shoo kama kawaida.

Sasa jamaa kaendelea tu kuita bebi kumbe kuna midune mingine inakuja kwako kimya kimya inakula raha...

Siwezi ona wivu mm maana ni vitu nimefanya humu na wengi. Afu sikuona faida yake (hata kukutana) afu wale ambao sijawahi hata kuita bebi humu ndo napata zaidi ya kuwaita bebi (u know what to imeaan (
Misifa ya kijinga wanatafuta humu, pm zipo kazi kwao kuharibu uzi tu hapa
 
Hahahaaa wala sio wivu bibie.. kama ungekya serious ungemruhusu aje pm, Unamchoresha kijana wa watu humu afu wamuona ndina tu!. Wanaopendana humu jf Kiukweli huwezi kuta sehemu humu wanaitana baby wala kufatana fatana wapo kimya kimya na wapigana shoo kama kawaida.

Sasa jamaa kaendelea tu kuita bebi kumbe kuna midune mingine inakuja kwako kimya kimya inakula raha...

Siwezi ona wivu mm maana ni vitu nimefanya humu na wengi. Afu sikuona faida yake (hata kukutana) afu wale ambao sijawahi hata kuita bebi humu ndo napata zaidi ya kuwaita bebi (u know what to imeaan (
Mbona unamuhurumia mtu ambaye hajihurumii au ndo unafiki wa wabongo, anyway pengine unaijua game vyema kuliko tunavyoijua mh...cool big boy, don't cry.
 
Acha hizo mkuu huo ni utoto mnaofanya huu uzi unaongelea suala lingine nyie kucha kutwa kujitia kujuliana hali hapa kweli unaona ni sehemu sahihi!
Si mjianzishie uzi wenu wa mahaba alafu uone kama tutawaingilieni
Poa, ila nikimuanzishia uzi hutakiwi ku comment chochote na uki comment na ku report chaap,
 
Mbona unamuhurumia mtu ambaye hajihurumii au ndo unafiki wa wabongo, anyway pengine unaijua game vyema kuliko tunavyoijua mh...cool big boy, don't cry.
Hahahaaa haya bwana.. watu wako furious maana uzi wa picha nyie mwaleta mapenzi. Ingekua CC au MMU usingesikia mtu
 
Back
Top Bottom