Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

Noted my King!
Good, but... better to have out contact a part from this...mana zile three, four days zilikuwa ngumu kweli upande wangu, sikujua ulikuwa crashed na nini uka disappear abruptly.
"If you will not mind"
Wishing nice night my lady.
 
Hahaha. .Daah aibu kubwa sana hiyo kwa muheshimiwa na team yake. .ccm sio watu aise
Wanabodi.Katika mitandao hivi sasa kuna treading ya picha na vituko vya mtu anayeitwa fundi maiko,inaoneha kila ujenzi wenye utata mhusika ni FUNDI MAIKO.

Naomba kujua nini kilichhotokea mpaka fundi maiko akapewa kila aina ya kosa la usanifu katika ujenzi au ukarabati.

nitashukuru

UPDATES
Vyanzo vya taarifa vinaeleza kuwa chanzo cha FUNDI MAIKO ni kutoka katika mkoa ambao haujatajwa ambapo fundi mmoja aliyefahamika kwa Jina la Maiko alipewa kazi na halmashauri moja (naifadhi jina lake) kuandika kibao cha uzinduzi wa jiwe la msingi katika moja ya shule ya msingi(inaifadhiwa jina) ili iweze kuzinduliwa na mbio za mwenge.

Hata hivyo fundi maiko hakulipwa ujira wake mpaka mwenge unakaribia kufika eneo hilo alikuwa hajalipwa fedha zake.

Aliamua kuandika kibao kinachoeleza aliyekitengeneza na kueleza madai yake ikiwa ni shinikizo kwa wakimbiza mwenge kulipwa fedha zake.(tazama picha ya kwanza,unaweza kujua halmashauri husika).

Tangu hapo ndipo lilipoanza kuibuka jina la fundi maiko.


View attachment 1201744
 
Saruji mifuko 50
FB_IMG_1541124603427.jpeg
 
Good, but... better to have out contact a part from this...mana zile three, four days zilikuwa ngumu kweli upande wangu, sikujua ulikuwa crashed na nini uka disappear abruptly.
"If you will not mind"
Wishing nice night my lady.
Afternoon my King...
 
Back
Top Bottom