Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

Hiyo ya kibao cha jiwe la msingi nimeipenda sana. Nafikiri mawe ya msingi huwekwa na mafundi sio mtu mwingine!
 
Fundi maiko
FB_IMG_1568086119464.jpeg
 
Wakuu huwa mnasikia tu fundi maiko fundi maiko, yule bwana aliejipambanua kupitia bango hili la uzinduzi
IMG_20190908_165734_797.jpeg

Bas huyo bwana ndo huyu hapa
FB_IMG_1568096151107.jpeg

Na haya ndo makazi yake
FB_IMG_1568096120693.jpeg

Pia hii ni moja ya kazi zake huyu bwana fundi maiko
FB_IMG_1568096136800.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20190908_165734_797.jpeg
    IMG_20190908_165734_797.jpeg
    28.7 KB · Views: 31
  • FB_IMG_1568096151107.jpeg
    FB_IMG_1568096151107.jpeg
    25.4 KB · Views: 30
Back
Top Bottom