Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,796
Na ninapomkubali FUNDI MAIKO..... Hajawahi kukosa maelezo incase umemuuliza nn kimefanyika?
Na ninapomkubali FUNDI MAIKO..... Hajawahi kukosa maelezo incase umemuuliza nn kimefanyika?
.Mshana utauua mtu,mbavu zangu hatari..
Mshana acha kwanza nile natemea watu mate ......kwa vicheko ....
Anaenda wapi etiNimekutana nae hapa MSAMVU STAND... Nadhani anasafiri!
Anaenda wapi eti
Huyo kweli fundiAnasema ana ticket ya BASI ya kwenda ZANZIBAR!
Duh ! Noma sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Fundi maiko baada ya kukamilisha kaziView attachment 1203015
Kwa Style hii ya kupanda juu ya nondo, Sarawili ya Maiko The Fundi itakuwa na rinda tena kweli?
Doooh, sio pichaduka kweli?