monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,486
- 13,017
Fundi Maiko ni kimoda!Fundi maiko ni mdedrii
Fundi Maiko ni kimoda!Fundi maiko ni mdedrii
Ni Sonko KabisaFundi Maiko ni kimoda!
Picha 1.... FUNDI MAIKO anamsajilia mteja wake kwa alama za Vidole
Fundi Maiko yeye bado yupo mtaani tu .Mkimuona fundi maiko mumpe salamu zangu
Aiseee hii kiboko.Fundi MaikoView attachment 1202147
Fundi Maiko unatuua mbavu.Fundi Maiko hajawahi kuniangusha View attachment 1202144View attachment 1202145View attachment 1202146
Fundi yeyote mzinguaji, asiye na taaluma ya kutosha na fani yake.Kazi zake ni bora liende (mzee wa kulipua)naona tu kwa mtandao fund maiko,ebu toen ufafanuz kwa tusiomjua tuwez ngamua
Fundi alifanya kazi ya serikali ,wakati kiongozi anakuja pale kwenye jiwe la msingi akaandika viongozi nilipeni kwanza hela yangu ,acheni ubabaishaji, badala ya kuandika jengo hili limezinduliwa na Mkuu wa wilaya au kiongozi husika ....kazi yenyewe alikuwa amelipua lipua, pitia kwenye Uzi mwanzoni utamuona.naona tu kwa mtandao fund maiko,ebu toen ufafanuz kwa tusiomjua tuwez ngamua
Huyu atakuwa Mrs Maiko ...kazi inaendana na ya mme wake.😂😂😂😂👆
hapa ss nmeelewa mkuu,kumbe n fund yyte mzinguaj ndo waamu adress kama fundi maikoFundi alifanya kazi ya serikali ,wakati kiongozi anakuja pale kwenye jiwe la msingi akaandika viongozi nilipeni kwanza hela yangu ,acheni ubabaishaji, badala ya kuandika jengo hili limezinduliwa na Mkuu wa wilaya au kiongozi husika ....kazi yenyewe alikuwa amelipua lipua, pitia kwenye Uzi mwanzoni utamuona.
Ulikuwa hujui kumbe, akina fundi maiko ni wale lipua lipua, wamejaa sana mtaani.hahah!hapa ss nimeelewa mkuu,nlikua najua n mtu fame kama Piere liquid!kumbe n wale mafundi lipua lipua
Mkimuona fundi maiko mumpe salamu zangu