Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wanabodi,

Katika mitandao hivi sasa kuna treading ya picha na vituko vya mtu anayeitwa fundi maiko, inaonesha kila ujenzi wenye utata mhusika ni FUNDI MAIKO.

Naomba kujua nini kilichhotokea mpaka fundi maiko akapewa kila aina ya kosa la usanifu katika ujenzi au ukarabati.

Nitashukuru

UPDATES
Vyanzo vya taarifa vinaeleza kuwa chanzo cha FUNDI MAIKO ni kutoka katika mkoa ambao haujatajwa ambapo fundi mmoja aliyefahamika kwa Jina la Maiko alipewa kazi na halmashauri moja (naifadhi jina lake) kuandika kibao cha uzinduzi wa jiwe la msingi katika moja ya shule ya msingi (inaifadhiwa jina) ili iweze kuzinduliwa na mbio za mwenge.

Hata hivyo fundi maiko hakulipwa ujira wake mpaka mwenge unakaribia kufika eneo hilo alikuwa hajalipwa fedha zake.

Aliamua kuandika kibao kinachoeleza aliyekitengeneza na kueleza madai yake ikiwa ni shinikizo kwa wakimbiza mwenge kulipwa fedha zake.(Tazama picha ya kwanza,unaweza kujua halmashauri husika).

Tangu hapo ndipo lilipoanza kuibuka jina la fundi maiko.


fundi.jpg
 
Habari wana jamvi,

Nimepata kuona wasifu wake huko Facebook jamaa ana kazi nyingi za kuvutia.

Sasa mimi nataka nijenge apartment pale Masaki nadhani fundi Maiko atanifaa katika project yangu,mwenye mawasiliano yake anisaidie.

Emok Jr
#Nawasilisha.
 
Safi
Fundi Maiko Hicho Ni Kiwanda Zamani Mwijage Angekuwa Jirani
 
Back
Top Bottom