Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Ila wanaume jamani! Hivi jiulize mlivokua mnaishi kabla ya ndoa ma sasaiv ni sawa? Unakuta mwanamke ana watoto shughuli zot3 za nyumbani toka asubuhi hadi jioni zinamtazama yeye wewe ukiombwa hata kusaidia kuogesha mtoto unanyanyua mabega kama roboti alafu jioni nimechoka zangu hoi uanze kunishika shika nakupiga ndosi hadi utoke damu puani, Mapenzi ni pamoja na kuhurumiana na kusaidiana tena mwingine unakuta wote mnafanya kazi na ukirud nyumbani unafanya majukumu ya home yeye amekaa miguu juu kashikilia rimoti akila hata sahani yake hasogezi, hizo genye nazipata saa ngapi...kwakweli kama mnaona solution ni kutafuta michepuko tafuteni na muhamie huko milele

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
ushapiga vichwa wangapi? kuna kitu nimejifunza kwenye comment yako
 
Umesema ukweli kabisa kaka. Baadhi ya wanawake wakishaolewa wanajisahau sana. Kwanza kila siku wewe ndio umuombe mchezo ukiomba unaambiwa unapenda sana uchi ukipewa ufanye kidogo tu ukitaka kurudia unaambiwa nimechoka, usipo muanza hupewi kitu. Akipata mimba utanyimwa mchezo mpaka uombe poo.
mzee yamewahi kukuta nini?
 
Ndio maana ndugu zetu waislam wanaoa wake wanne, Wakristo tunaishia kufanya zambi tu Kiukweli mke mmoja hatoshi
Ila wanaume jamani! Hivi jiulize mlivokua mnaishi kabla ya ndoa ma sasaiv ni sawa? Unakuta mwanamke ana watoto shughuli zot3 za nyumbani toka asubuhi hadi jioni zinamtazama yeye wewe ukiombwa hata kusaidia kuogesha mtoto unanyanyua mabega kama roboti alafu jioni nimechoka zangu hoi uanze kunishika shika nakupiga ndosi hadi utoke damu puani, Mapenzi ni pamoja na kuhurumiana na kusaidiana tena mwingine unakuta wote mnafanya kazi na ukirud nyumbani unafanya majukumu ya home yeye amekaa miguu juu kashikilia rimoti akila hata sahani yake hasogezi, hizo genye nazipata saa ngapi...kwakweli kama mnaona solution ni kutafuta michepuko tafuteni na muhamie huko milele

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ila wanaume jamani! Hivi jiulize mlivokua mnaishi kabla ya ndoa ma sasaiv ni sawa? Unakuta mwanamke ana watoto shughuli zot3 za nyumbani toka asubuhi hadi jioni zinamtazama yeye wewe ukiombwa hata kusaidia kuogesha mtoto unanyanyua mabega kama roboti alafu jioni nimechoka zangu hoi uanze kunishika shika nakupiga ndosi hadi utoke damu puani, Mapenzi ni pamoja na kuhurumiana na kusaidiana tena mwingine unakuta wote mnafanya kazi na ukirud nyumbani unafanya majukumu ya home yeye amekaa miguu juu kashikilia rimoti akila hata sahani yake hasogezi, hizo genye nazipata saa ngapi...kwakweli kama mnaona solution ni kutafuta michepuko tafuteni na muhamie huko milele

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa mnalalamika nini tukichepuka

Yaani nyie jueni mke mmoja hatoshi
 
Sasa mnalalamika nini tukichepuka

Yaani nyie jueni mke mmoja hatoshi
Mi nazani tazama imani yako mkuu, kama inaruhusu hata kuoa wake 10 Fanya hivyo!
Hapa tunajadili NDOA! Hiyo mambo ya idade ya wake kila mtu abaki na IMANI yake!
Kama ni muislam OA Kwa idadi yako! Na mkristu Soma Mathayo 19:4-6

Akawajibu: “Je, hamkusoma kwamba yule aliyewaumba tangu mwanzo aliwaumba mwanamume na mwanamkea 5 na kusema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?b 6 Basi wao si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo, kile ambacho Mungu ameunganisha mtu yeyote asikitenganishe.”*
 
Au Kuna ile unakuta siku hiyo umeamua kumpiga show mpaka anakimbilia room y watoto,,,,, unaanza mbembeleza kesho nakununulia chupi anajibu ulininunulia dazani juzi Hapa bado zingine sijavaa,,, unaamua mwambia basi tutajenga nyumba nyingine, unakuta anatabasamu anakwambia nimechoka mume wanguMwisho huwa namwambia njoo nikunyonye uchi japo dakika Moja ktkt y sucking unasikia basi malizia baby ila jitahidi umalize chap
Eeeh!!!! mnafaidi walah.
 
Ndoa tamu sana sema these days watu wanaipaka sana matope. Inasababisha kisaikolojia watu wanakua na picha mbovu.

Cha muhimu kwanza marry your type muwe washkaji, me nainjoi sana sometimes natamani madem pembeni ila sina ata mzuka nao ,nawaona kama madada na ndugu tu. Main reason nyumbani patamu bana.

Ndoa inapunguza sana stress za maisha. Its a safe space i have created.

Manyege ndo yanarudishana watu nyuma kimaisha bila wao kujua inapelekea kwenye ulevi ,multiple partners etc. Kwenye ndoa raha mnakua na games tofauti, kuna muda mnafanya simple tendo la ndoa, siku nyingine you https://jamii.app/JFUserGuide like pros or kitombo murua ,afu hakuna raha kama umtie mkeo vizuri hadi akwambia "asante beib" mkishamaliza.
 
Ndoa tamu sana sema these days watu wanaipaka sana matope. Inasababisha kisaikolojia watu wanakua na picha mbovu.

Cha muhimu kwanza marry your type muwe washkaji, me nainjoi sana sometimes natamani madem pembeni ila sina ata mzuka nao ,nawaona kama madada na ndugu tu. Main reason nyumbani patamu bana.

Ndoa inapunguza sana stress za maisha. Its a safe space i have created.

Manyege ndo yanarudishana watu nyuma kimaisha bila wao kujua inapelekea kwenye ulevi ,multiple partners etc. Kwenye ndoa raha mnakua na games tofauti, kuna muda mnafanya simple tendo la ndoa, siku nyingine you JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala like pros or kitombo murua ,afu hakuna raha kama umtie mkeo vizuri hadi akwambia "asante beib" mkishamaliza.
Kabisa
 
Back
Top Bottom