Uzi wa kupeana update kwa wale wa Kanda ya Kaskazini; yaani Moshi na Arusha

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,766
Habari za December Hii ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya kbsà.Nawatakia Heri ya xmass kwa ndugu jamaa na marafiki hasa wale wakazi wa kaskazini

Kwa wale wanao safiri kurudi makwao Mungu awabariki sana.na kuwatangulia katika Safari zetu kuelekea makwenu mwishoni mwa mwaka huu 2021. Mm Binafsi Safar naanza kesho Dar to Moshi nitakuwa na private car, Vanguard unyama mwingi nategrmea kukutana na challenge huko njiañ nipo na nimejipanga kukabiliana nazo Vizur kabisa.

Naomba tujuane kwa wale watao aanza Safar kesho kuelekea Moshi,Arusha tupeane code pia tusisahau kuuombeana uzima kwa mola wetu

Mm binafsi nawatakia wote kila la kheri na Mungu awabariki katika Safar zenu .Wenu katika ukumbuzi wa makwenu
FB_IMG_16376762393741268.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom