Uzi wa kuambiana ukweli na kuubali ukweli unaoambiwa

Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo
Weka picha tuone kama ni kitam/kizuri
 
Mimi ukweli wangu kwa wana JF wote hasa mademu ni huu.....

Mademu wa JF mnalinga sana hata kinyonga anasubiri na wakati kwanza wengi wenu ni wabaya kweli hamuangaliki..

wengi mna sura kama ya bibi fisi halafu wafupi kama kigoda, weusi kama mmeogea lami hasa demisi.
 
Ungeruhusu watu tumwage ukweli mchungu wa kweli kweli na sio huu wa kupambana.
Unaanzaje kufungua Uzi halafu unaweka sheria za ajabu ajabu? Umeamua watu tuchanane acha tuchanane ondoa hofu.
Uzi ungefungwa ungefungua mwingine.
 
Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo
Kwenye suala la kitumbua kitamu hapo usidanga nye watu.Nawe ukubali huu ukweli kuwa hujui kujisafisha ndio maana hiyo harufu ya ng'onda haikatiki.Na ndio maana nilidate nawe Mara 3 tu nikakupotezea.at the first time nilijua bahati mbaya,second nikasema huenda ulijisahau ila ile ya third kama wakumbuka kwanza nilihakikisha unaoga then tukaanza ila ikawa vilevile.Kiukweli hiyo harufu yakeraaaaaaaaaaa...Madhali Leo ni ukweli wacha tu niuseme
 
Nataka niwaambie ukweli mchungu wana JF wote kuwa mtakufa tu siku moja hivyo msipende kubeza na kudharau wengine. Msijione matawi ya juu kisa Mungu kakujalia maana huijui kesho yako.

Nawachana kuwa Mungu sio Mzee Mkumba tusema atampendelea mwanae Chalii kila siku na mtu sio jiwe tuseme ukiliweka mahali hata uje mwakani utalikuta pale pale.

Nawaambia ukweli kuwa kama una uwezo wa kuwasaidia wasiojiweza jitoe kadiri uwezavyo. Ishi maisha yako usipende kufuatilia yasiyokuhusu sana, labda kama unaona kuna haki haitendeki na unaweza kusaidia. Kuwa low profile. Jitahidi kuwa neutral siku zote, usifungamane na upande wowote.

Unapopata mda na wadhifa kidogo kula maisha... Nawaambia ukweli mchungu mtajua wenyewe
Kweli aisee
 
Back
Top Bottom