Uzi wa kuambiana ukweli na kuubali ukweli unaoambiwa

Mie nawaambia ukweli wale wote wanaochangia uzi kwa kujuana + mazowea na mleta uzi. Haifai hiyo tuiache.

Maana waeza kuta uzi mzuri ila kisa member hajulikani basi unadoda.

Tuacheni hizo mambo kama tulivyopendana kipindi kile kwa kupeana taarifa na kuhamia kwa jirani basi na hata kwenye nyuzi tupendaneni pia kwani ubaguzi si mzuri.

(Hapa nasemea zile ambazo sio Chai)
Swadakta kabisa Hajar, maneno yako sawiya
 
Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo
Mganga yupi MziziMkavu au Mshanajr ?
 
Kwani kutogoza nako ni ushindani
 
Mie nawaambia ukweli wale wote wanaochangia uzi kwa kujuana + mazowea na mleta uzi. Haifai hiyo tuiache.

Maana waeza kuta uzi mzuri ila kisa member hajulikani basi unadoda.

Tuacheni hizo mambo kama tulivyopendana kipindi kile kwa kupeana taarifa na kuhamia kwa jirani basi na hata kwenye nyuzi tupendaneni pia kwani ubaguzi si mzuri.

(Hapa nasemea zile ambazo sio Chai)
Thanks kwa kuwaambia
 
Me nataka kuwaambia ukweli wale wote wanaopenda sifa za kijinga..mara ooh me mzuri ..nina gari nina nyumba nzuri..hv kuna mtu yuko hapa jf analala nje?na siku zote wazuri hawajisifii huwa wanasifiwa sasa nyie mnaohangaika kujitembeza huku mkijibambika sifa zisizo maana inasaidia nn?kaa chini tulia upewe sifa sio uzitafute kwa nguvu..Nawaambia ukweli mnakera sana
 
Back
Top Bottom