Uzi wa kepeana motivation katika maisha jinsi gani ukitoka hapo ulipokuwa Mpaka ulipo sasa

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,766
Habarini za kutwa Ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya kabisa .Tuendelee kupambana dhidi ya COVID-19 .Mungu ibariki Tanzania

Tuende kwenye mada yetu pendwa ni kupeana motisha morali katika maisha kupitia shuhuda mbalimbali za Wana JF jinsi gani walifocus ni magumu gani waliyopitia ambayo hawatokuja kusahau katika maisha lakini mwisho wa siku walivuka salama share visa Hapa

Mimi nilipitiwa wakati mgumu Sana hapo nyuma sintokuja kusahau ni wakati ambao siku wahi kuwaza kupitia katika maisha nilikuwa mpweke sina Raha choka akili mpkaa nafsi .Nashukuru Mungu alinipigania na Mpaka nikavuka salama .Here we go mwakani naanza maisha bachelor nakuwa na wakati mgumu kila nikifikiria lkn najipa moyo kila penye njia Pana nia
Nawakaribisha members wote wa humu jf kuja kushuhudia jinsi walivyopambana na nyakati gani Ngumu waliyopitia katika maisha watupe morali nasaha na vipaumbele kwa wale wanaonza amaa. Kupitia magumu


Naomba kuwasilisha plz HERE WE GO
 
Sasa hapa umetu-motivate vipi?

Ulichoelezea hapo una uhakika kinaweza kumpa mtu tumaini lolote katika maisha yake?

Ulipitia magumu! sawa magumu gani? Ulikuwa unabeba magunia ya misumari kwenda Lubumbashi au?

Ku-motivate mtu ni kuelezea kitu ambacho kitagusa moja kwa moja hisia zake na maisha yake halisi siyo kusema tu ulikuwa unapitia magumu.
 
Mimi Bado Nina changamoto nyingi Sana japo allhamdullah nimepata kazi lakini Bado Nina vipengele vingi Sana yaani mpk nakufa nitakuwa nimechoka kinyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom