Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

IMG20211204160436-01.jpg
 
Aah sawa nasubili na mimi nione mfumo wa maisha utanipeleka muelekeo upi
Mkuu napenda kuchora sana na kuchonga mapambo mbali mbali ila kwenye kuchora kama ni mtu huwa nashindwa kwenye mikono na miguuni, sijui nifanye nini ili kufikia ndoto yangu
 
Mkuu napenda kuchora sana na kuchonga mapambo mbali mbali ila kwenye kuchora kama ni mtu huwa nashindwa kwenye mikono na miguuni, sijui nifanye nini ili kufikia ndoto yangu
Kwa kweli kwenye sehemu ya vidole kuunganisha na mkono au mguuni huwa pana shida ata kwangu ila huwa najitahidi tu. Kwenye mikono hua naanza na kucha kwanza af nakuja vidole af namalizia na kiganja chote, ni kama kwenye sura ya mtu huwa naanza na macho kwanza harafu pua halafu mdomo na namalizia sehemu zingine
IMG20211204131403-01.jpg
 
Kwa kweli kwenye sehemu ya vidole kuunganisha na mkono au mguuni huwa pana shida ata kwangu ila huwa najitahidi tu. Kwenye mikono hua naanza na kucha kwanza af nakuja vidole af namalizia na kiganja chote, ni kama kwenye sura ya mtu huwa naanza na macho kwanza harafu pua halafu mdomo na namalizia sehemu zingineView attachment 2033138
Daaah, kweli Tanzania tumebarikiwa vipaji, 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐮𝐩𝐨 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢, 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐤𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐞 𝐮𝐟𝐢𝐤𝐞 𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢
 
Mchoraji mzuri sana

Shida huna ubunifu wa katika uchoraji
Ni kweli unayosema nakubali sina ubunifu hii ni kutokana na kwamba hichi kitu huwa tu nafanya kujifurahisha pindi nikiwa sina kitu cha kufanya ila ukweli ni kwamba ubunifu ninao mwingi tu ila huonekana pale napopata challenge ya kushindana na mtu ndipo huwa naonesha ujuzi mwingine wa ziada kwenye uchoraji
 
Back
Top Bottom