Haaa mkuu wa mkoa Arusha anatafuta wanaopiga picha na kurusha mitandaoni kuwa ni wahujumu uchumi angalia za kurusha aisee.Ila picha nzuri sana
Picha iko poa, ila vidole hasa picha yajuu unavikoroga! Punguza mkuu.
Sijakuelewa.Picha iko poa, ila vidole hasa picha yajuu unavikoroga! Punguza mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ki ukweli nimezikubali sana hizi picha maana mimi ni mpiga picha za mazingiraa!! Ntakuchek inbox. Jamaa yangu
Mkuu jaribu kuongeza na picha za sunset nazo huwa zinamvuto sana sana sana..
Tazama hii View attachment 1359568
Mkuu fanyia kazi wazo la kibiashara kuhusu utengenezaji wa kalenda ama picha za ukutani. Utafanikiwa sana ktk biashara hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO
Mkuu nimezionaNimsehaweka leo huo uzi ni sun set tuu peke yake mkuuCAMERA YA SIMU KATIKA MATUKIO (PART 02)
Yaan kama vime'bleach'iwa. Samahani yawezekana ni macho yangu ya kizee.
Lighting tu usiogope.... I'm naturalYaan kama vime'bleach'iwa. Samahani yawezekana ni macho yangu ya kizee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani Mimi?Unatumia app gan kuedit pictures