Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

Kikuu ni soko, Kama kariakoo, wauzaji wapo wa Aina tofauti tofauti.
.
As in wanauza mtandaoni kwa kupost bidhaa. Founder na big store ni China thou Kuna wafanya biashara wa mikoani pia wanauza kupitia kikuu.
.
Ukiangalia kwenye app Kuna sehemu wanakuuliza if you want to sell with kikuu.
.
NB. Tumia AliExpress wako vizuri zaidi ya kikuu. Shida NI delay ya delivery, na wenyewe unafata mzigo posta. But still the best

Kikuu wanafanya on door delivery. Sema bidhaa zao nyngi not quality
shukrani sana
 
Si aende ofisini kwao... Shoppers Plaza ghorofa ya kwanza. Unanunuaje kitu hujui hata ofisi zao zipo wapi
Yani mtu atoke Mwanza au Mbeya aende ofisini kwao Shoppers Plaza Dsm kufatilia bidhaa aliyoagiza? Au wateja wao ni wakazi wa Dar tu?
 
Yani mtu atoke Mwanza au Mbeya aende ofisini kwao Shoppers Plaza Dsm kufatilia bidhaa aliyoagiza? Au wateja wao ni wakazi wa Dar tu?
Apige simu kama hawezi kwenda physical. Na inawezekana kwenye delivery mode aliandika 'Kikuu office' kwahiyo bidhaa yake itakua ipo warehouse za kikuu inamsubiri
 
Nikiona neno KIKUU namkumbuka EX wangu mmoja tapeli tapeli.

OFA!
Tunarusha mawe juu ya bati usiku kucha kwenye nyumba ya Ex wako mpaka ahame, kwa bei nafuu kabisa, na mikoani tunakujaa.....!!
 
Habarini wana JF, ni matumaini yangu nyote mko poa na swaumu inaendelea kama kawaida.!

Wakuu wangu kijana mwenzenu nilikua nataka kununia bidhaa kwa njia ya mtandai, ila nimependezwa na duka ka mtandaoni linalojukikana kama KIKUU. Nikianzia kuona matangazo yake instagram, nika hamasika na nikadownload application yao..

Sasa kwakua ni mara yangu ya kwanza, nimeona nilete huu uzi hapa ili nipate kuuliza kwa wenzangu ambao kwa namna moja ama nyengine watakua wakifahamu kuhusiana na hawa KIKUU maana kuna baadhi ya watu wanasema hawa jamaa ni wezi, sio waaminifu, (Katika moja ya post yao huko intagram ndio watu wamecomment hivyo kwamba hawa watu ni wezi hawana tofauti na matapeli)
Hizi ni baadhi ya tuhuma kutoka huko instagram kwenye post yao
View attachment 1099338

View attachment 1099339

Lakini pia nimepitia kwenye application yao nakujionea baadhi ya bidhaa zilizopo sokoni, nimezidi kushangaa kuona bidhaa ziivyokua bei rahisi mnoo, yaani bidhaa ya 500,000/= wao wanauza 90,000/= kitu ambacho kimeniacha na mdhangao.. Kama inavyoonekana chini hapa
View attachment 1099343
View attachment 1099345
View attachment 1099347

Nimeamua kuwasilisha hapa jukwaani ili nipate ufumbuzi je, hawa KIKUU ni waaminifu kwenye kazi zao? Nikiangiza bidhaa itakuja kama ilivyo au ni magumashi tu?.

NATANGULIZA SHUKRAAN, NAWASILISHA.
Jamaa hawana shida kabisa,mi ni mdau wa kununua bidhaa mtandaoni,nilinunua kamzigo mapema may kwa ajili ya mke wangu imechukua wiki mbili tu hadi kuupata huo mzigo,kikubwa soma maelekezo fatilia feedback ya wateja kwa muuzaji angalia order na selling record ya hiyo product ukiona feedback nzur ujue huyo muuzaji anaaminika ukiona zengwe temana nae...hapa ninapokuambia kuna package yangu kutoka ebay iko njiani,utafaut wa Kikuu na ebay ni njia ya malipo,(paypal vs mpesa,tigo pesa etc) muda wa kusafiri n.k ebay kama ni free shipping tegemea miezi miwili ila kikuu ni very fast nimewapenda sana.natemea kuagiza mzigo mwingine soon,WIGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO
 
Hivi office za kikuu zipo wapi .nmeagiza mzigo ulifika salama ila sasa wakati wamekuja nilipo address mimi nilikua safarini.sasa nataka kuufata
 
Kikuu wezi kabisa... Unaagiza kifaa picha tofauti kabisa na uhalisia utaona bei ndogoo mtandaoni, achana nao haraka utaibiwa haraka sana
 
Kikuu wezi kabisa... Unaagiza kifaa picha tofauti kabisa na uhalisia utaona bei ndogoo mtandaoni, achana nao haraka utaibiwa haraka sana
Ndo mana nasomaga commment kabla ya kusema lolote kuepuka mashaka kama haya
 
Mkuu wewe ni muongo tena unataka tuu kuharibu biashara za watu kwa roho yako mbaya. Mimi ni mtumiaji mkubwa wa kikuu. swala la kuweka oda na kufanya malipo ni vitu viwili tofauti. Oda inafanywa ndani ya app ya kikuu lakini malipo unayafanya kwenye muamala wa pesa na ukishaweka oda wanakupa siku 10 za kufanya malipo lakini usipofanya malipo ndani ya siku hizo 10 oda inakuwa canceled automatically kwenye app. Oda huwezi ukaicancel ukiwa umeshalipia ila unaweza kuicancel ukiwa bado hujalipia. Yaani wewe umechukua mpaka oda namba ukaenda ukalipa bill kwenye muamala wa mtandao wa simu bado unasema uliweka kimakosa. Umeweka oda kimakosa then kwanini ulienda kuilipia hiyo oda. Unapoamua kuwa muongo jaribu kuwa na kumbukumbu bhana
Ni kweli kikuu ni wezi na waongo nimelipia mzigo namba 62003030573 na sijaupata mpala sasa ingawa imeandikwa mzigo delivered na nimejaribu kuwasiliana nao mpaka sasa sijapata majibu,na niliwaambia watume gharama za usafiri nitalipia ingawa waliandika wanatuma popote ndani ya tanzania lakini hawajibu chochote namba yangu ya simu ni 0866433364
 
Habari,

Kuna kampuni inaitwa Kikuu, niliipata kupitia mtandao, kwa kifupi wanauza accessories mbali mbali, ila zisizokuwa na uimara, hivyo huharibika haraka mno.

Mimi nilifanya order kimakosa, mnamo tarehe 15 ya mwezi wa saba, mwaka huu, vizuri zaidi siku hiyo hiyo niliwataarifu Airtel, kwa maana nilitumia line yangu ya Airtel, ilibidi niwataarifu Airtel ili wazuie muhamala, nilitumia Airtel money kulipia, ila Kikuu makusudi hawakuizuia, kwa kifupi hata kwa kuwa nilikosea order wali-force kuagiza bidhaa kutoka China, nikajaribu kuwapigia ila hapakuwa na msaada wowote zaidi ya majibu ya karaha.

Siku ya siku, nilishtukia napigiwa simu kwamba mzigo wangu umefika, na boda boda, nikamwambia huo mzigo nilishau-cancel, boda boda akanijibu subiri 24 hours utarudishiwa pesa yako, sasa inapata wiki ya tatu ola, hawajatuma pesa, nikawapigia simu customer service zaidi ya mara 10, siku tofauti, majibu hayakuwa yakiridhisha, nikahangaika kutafuta namba ya manager wao, ambaye ni mtanzania, anaitwa Steven, nikampata, akaniahidi pesa angerudisha, hakurudisha, alichokifanya ni kunirudishia pesa yangu niitumie kwenye mtandao wao tu, yaani wanairudisha pesa kwenye account yako ya Kikuu ili uitumie kwenye mtandao wao tu, ikiwa mimi niliwalipa kwa namba yangu ya simu, mwisho wa siku ananiambia njoo ofisini kwa issue ya kurudisha 40,338 eti nimfuate ofisini, tena wiki ijayo ikiwa swala langu limeshakaa mezani kwake week ya 3 sasa na hakuna kinachoeleweka, niliongea na Airtel lakini aliwagomea Airtel kurudisha pesa.

Huu ni nini kama sio utapeli? Na kama si utapeli kwa nini ananizungusha?
Mkuu naomba namba za bosi wao kuna mizigo niliagiza mmoja mwezi wa tano na mwengine mwezi wa sita,lakini ya mwezi wa sita nimeupata wakati wa tano sijauona mpaka Leo,nahangaika sijui napataje namba zao mkuu nisaidie tafadhali ya huyo bosi wao
 
Kikuu wapo vizuri kwa Delivery tu ambayo ni Door to Door Delivery na si kwa Ubora wa bidhaa uliyoiagiza kwa maana nadhani watu walioagiza bidhaa wanalitambua jambo hili
 
Kikuu wapo vizuri kwa Delivery tu ambayo ni Door to Door Delivery na si kwa Ubora wa bidhaa uliyoiagiza kwa maana nadhani watu walioagiza bidhaa wanalitambua jambo hili
Kweli kabisa bidhaa toka Kikuu ni duni sana (poor quality)
 
Nawasalimu wote
Nimeona bidhaa zinazouzwa kwenye KiKUU application ni bei cheap sana. Kwa wale waliojaribu kununua naombeni mnisaidie yafuatayo;
1. je ni waaminifu?
2. Je bei waliyoandika ni sahihi au ukiwapa pesa wataanza sababu zingine?
3. Bidhaa ikifika Tz gharama za ushuru na usafiri zikoje? Mfano simu, saa, n.k
4. Wana mawakala nchini kwa ajili ya kusaidia usafiri au mzigo ukifika bandarini ndo utafute wa kukutumia?
 
Nawasalimu wote
Nimeona bidhaa zinazouzwa kwenye KiKUU application ni bei cheap sana. Kwa wale waliojaribu kununua naombeni mnisaidie yafuatayo;
1. je ni waaminifu?
2. Je bei waliyoandika ni sahihi au ukiwapa pesa wataanza sababu zingine?
3. Bidhaa ikifika Tz gharama za ushuru na usafiri zikoje? Mfano simu, saa, n.k
4. Wana mawakala nchini kwa ajili ya kusaidia usafiri au mzigo ukifika bandarini ndo utafute wa kukutumia?
Wajaribu kiongozi wapo vizuri
Na gharama ni ileile utakayolipia hadi bidhaa inafika.
Tanzania kuna mawakala wao kila mkoa
 

Attachments

  • k3.PNG
    k3.PNG
    19.2 KB · Views: 25
Back
Top Bottom