Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

Kwa upande wa kikuu.
1.Mzigo unapata ndani ya siku au zaidi.
2.Ofisi zao ziko Kariakoo mtaa wa kongo. Kwa ramani zaidi google kikuu utapata location.
3.Mzigo usiporizika nao unaurudisha na hela yako itarudishwa ndani ya siku 3 kwa namba uliolipia mzigo.

Tahadhari,bidhaa nyingi za Kikuu ni low quality
 
Je naweza kununua bidhaha bilakuana box postal. S. L. P natakununua naomba msaada wa jibu
Hawana Magumashi Mi nimenuna Vitu kibao Including saa Ya Ukutanj
c3d6de2e19c7294e694db3bccba9b7f5.jpg
dd07d1c8028f9c1b7db30c6bd9a5e806.jpg
 
Na pia most of their product ziko fake.unakuta kwenye description wanasema cotton uje sasa uone nguo yenyewe unaweza lia. Nyepesi kama night dress.
Hiki ndicho nilichotaka kukiandika

Ni kweli wanauza bidhaa na unaletewa, lakini.
1. Waongo,
Bidhaa zinadisplay vikubwa lakini unaletewa kitu kidogo hujawahi fikiria.
2. Quality mbovu
Wanaleta vitu ndio, lakini vingi vinakuwa na quality ndogo sana yaani mbovu.
3. Havidumu
Yaani vitu vyao mfano nilinunua cheni rangi yoyote hata silver au gold, nilivaa siku 2 ilichuja na kupauka.
Nilinunua handbags, yaani ni nyepesi na mikanda ikakatika haraka japokuwa nilikuwa naweka vitu vichache maana nilijua haiwezi kubeba vitu vizito.

Nakushauri ununue ujionee mwenyewe maana kama wapo wanaosema ni wamenunua na wameridhika basi jaribu na wewe.
Lakini mimi sikuridhika na nisharudisha vitu vyao mara nyingi sana ofisi zao ziko k. Koo
 
My dear utadhani unanisema mimi.uwiii kikuu wameniliza sanaa. Kila ninachonunua ni hovyo hhaaa na mimi pia nilinunua cheni ya gold siku hiyohiyo nimevaa ofisini lunch time imekuwa black nikatupa.nikanunua pochi ikachomoka mkanda.begi la mgongoni nilibebea tu kikanga na maji ya kunywa chupa ndogo but huwezi Amini kufika ninapokwenda mikono imeshaachia,nikanunua saa ya gold imekuwa black ndani ya siku mbili.viatu nimevaa siku moja kurudi home soli kwisha.hahaaa kibaya zaidi nilinunu high heels ya kuvaa kwenye harusi ya my friend, kwa picha kilikuwa kizuri kweli,sasa kiatu kunifikia kukuvaa hata kutoa hatua moja tu nilishindwa hakina balance.from that day nikaachana na kununua vitu kikuu
 
Yaani hata mimi yamenikuta nlinnua pete nimezivaa siku moja tu,nkaagiza mapoch kama ma 3 yalivokuja ndo nkaishiwa pozi kabisa vpoch kama vya mdoli viduchuu af material hovyo kabisa,sina ham nao kwakweli.
 
Ile app sio kabisa...
 
Niliagiza pochi ilikuja kipochi kidogooooooooooo nikaagiza wallet ikaja mbovu kbs yaani ukiona picha na kitu halic ni tofauti kbs ni waongo.. na vyote vilikaa zaidi ya mwezi
 
Mie nimeagiza Mara moja, mzigo ulikuwa kama nilivyoagiza, nafikiri kina kitu tunakosea wakati wa kuagiza, eh wameweka picha ya kapoch kazuri wewe unachagua kile coz bei ni cheap let's say 11000, lkn kuna poch kama hiyo hiyo bei 30000, naenda kwenye description ndio utaelewe, wanaeeka mpaka size na materials zilizotengeza, sisi huwa tunaangalia bei tuu ndio shida yetu
 
My dear utadhani unanisema mimi.uwiii kikuu wameniliza sanaa. Kila ninachonunua ni hovyo hhaaa na mimi pia nilinunua cheni ya gold siku hiyohiyo nimevaa ofisini lunch time imekuwa black nikatupa.nikanunua pochi ikachomoka mkanda.begi la mgongoni nilibebea tu kikanga na maji ya kunywa chupa ndogo but huwezi Amini kufika ninapokwenda mikono imeshaachia,nikanunua saa ya gold imekuwa black ndani ya siku mbili.viatu nimevaa siku moja kurudi home soli kwisha.hahaaa kibaya zaidi nilinunu high heels ya kuvaa kwenye harusi ya my friend, kwa picha kilikuwa kizuri kweli,sasa kiatu kunifikia kukuvaa hata kutoa hatua moja tu nilishindwa hakina balance.from that day nikaachana na kununua vitu kikuu
Vitu vyote hivyo ulikuwa hujakoma tu??
 
Back
Top Bottom