Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

Download application yao, register yourself. Wana ofisi kila mkoa/wilaya. Jaza sehemu ulipo na number ya simu. Watakupigia simu
Naomba nielekeze abc mchakato wa kununua mpaka kuletewa, mzigo unaletewa mpaka wapi?
 
NIshaagiza sana kupitia Jumia; si biadhaa si misosi! Sijawahi kupata tatizo la kuletewa bidhaa tofauti kwa sababu kimsingi, suppliers wa hizi bidhaa ni maduka yaliyopo sehemu mbalimbali Dar es salaam. Sometimes unaweza kuchelewa kupata mzigo, na hii hutokea pale endapo bidhaa uliyo-point, supplier husika hana na wanachofanya Jumia, ni kutafuta supplier mwingine! Na kwavile malipo ni baada ya mzigo kufika, HAKUNA RISK ya kuibiwa!
Umenifanya nipate imani ya kuagiza nami bidhaa yangu asee
 
Habari wakuu,

Kwa wale wenzangu wa kuorder vitu online, kwa muda murefu nimekua nikifanya manunuzi kupitia mitandao ya Ebay, Amazon na Alibaba. Hivi juzi nilisema ngoja nijaribu kununua kwenye hizi platform zetu za kiafrika nikachagua Kikuu.

Nilivutiwa kwanza na UI ya app yake na mpangilio wa bidhaa na pia suprisingly vitu viko bei ya chini sana. Modes of payment ni rahisi pia kwani unaweza ukalipa kupitia hizi huduma za mobile money. Basi, Nilichagua raba flani hivi na jumla yote (bei ya bidhaa pamoja na shipping cost) ilikua kama 62,500/= hivi nikalipia kwa tigopesa nikisubiri mzigo wangu.

Within 1 1/2 week niliupata ila kufungua package nilistaaabu ya musa. Raba niliyoagiza ni tofauti kabisa na ile niliyoichagua na hili raba nilioletewa ni yale tunaita ‘MCHAGA KAWEZA’ yaan mdosho wa kiwango cha lami. Kwa kweli i was so dissapointed nikajiuliza what if ningeagiza mzigo ambao ni bulk.

Sijajua kama tatizo kama hili hutokea bahati mbaya ama vipi hivyo naomba feedback kwa wakuu ambao mlishawahi kutumia hizi platforms vipi mzigo yenu ilikuja kama mlivyoitarajia au ni yale yale tu?

Nawasilisha.
sijawah tumia kikuuu japo kuna mtu alilalamika hivyo kua kaagiza kitu tofauti na kilivyokuja ila mm natumiaga jumia vitu vyote nimenunua kwao viko fresh na cheap japo kuna wakati waliniletea jiko la gas likazingua wakanipa vocha niweze kununua kitu kingine ofcourse wabongo bado sana katika hii industry lkn tusiwabeze tuwatie moyo ndio kujenga uchumi wa kwetu tuendelee kuwakosoa lakn tusiache kuwaunga mkono
 
Siwaamini hao kikuu mzigo wangu unazaidi ya nusu mwezi umefika hapa Dar lkn sijaletewa...siku hizi hata meseji hawanijibu...ni wababaishaji balaa sitarudia
Kikuu ni majambazi, mzigo wangu uliishia kwa delivery guy wao, nili-file complain lakini wapi
 
Mpango Ali express bei chee angalia ka hapo Toshiba flash 32 gb zipo 2 na usafir jumla 24000 zipo njian nazngoja
 

Attachments

  • Screenshot_2019-10-26-18-41-53.png
    Screenshot_2019-10-26-18-41-53.png
    15.5 KB · Views: 4
Screenshot_20191027-075936.png
Ndege imepotea, 8 days kutoka China to DSM na bado haijafika🕊️
 
Hawa jumia n hovyo Sana bidhaa zao nyingi fake ..nlinunua HDMI to vga adapter ..huwez amini haifanyi kazi...wapuuuzi sana hawa
 
Back
Top Bottom