Uzi maalumu wa vyakula vya mkoa wa Kigoma (Dagaa na migebuka)

cAE78k_.jpg
 
Siku hizi tunaambiwa yana chorestrol nyingi wakati miaka yote watu wanayala. Halafu mawese yakiungwa kwenye maharage ya Kigoma (njano orijino ) ni hatari lkn salama.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye harage la njano lililoungwa na mawese umenifanya tumbo liungurume ghafla kwa njaa

Hasa ulipatie kwa wali na achali ya mbilimbi, oyaaaaaah unantia njaa ujue
 
Wakazi wa vijiji vya Herembe, sigunga, kapalamsenga, Mgambo, Igarura au kibirizi, Mwamgongo watakua wanajua iki kitu.. kinaitwa MBANI hapo dagaa zinachomwa zikiwa na pilipili kichna chumvii
client3
91c91c1683def3f396b47b5b40f80247.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Daah!! Niliwahi kufika Singunga nilikula migebuka + dagaa wa bichi + kavungwe
 
Kigoma acha kabisa mkuu, binafsi nimezaliwa na kukulia dar kabila (mmanyema) lakini marehemu Bibi alikua akija nyumbani basi lazima aje na zagazaga zote za kigoma.

Sasa, usiombe akaingia yeye jikoni kufanya mavuga, yaani ukisikia Ile harufu basi lazima njaa ikuume.

Like dagaa la chukuchuku alafu likakaushwa kwa kufunikwa na mkaa kwa juu ulipatie na ugali wa muhogo, na kisamvu Cha mawese. Mbona utavimbiwa bandugu .
 
Yaani kigoma rahaa sana mkuu
 
Ayayaaaaa mkuu hiki kitu kinavuliwa kule kwa maharamia wa treni.. Wapii kule pamenitoka kijiji kinachofuata baaada ya malagarasi kama unavuka na basi.. kuna kambale kinoma

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Panaitwa "Nguruka "mkuu, samaki wa pale watam sana
 
Natupa TIP...

Lile dagaa lakufunikwa kwa mkaa kwa juu kama ukilipiga kwa sembe au dona, hakikisha kila ukipeleka dagaa kinywani basi mix na vile vinyanya Kisha sindikiza na tonge.

LAKINI kama ukiwa na ugali wa muhogo wenyewe hakuna haha ya hiyo mbwembwe, utakua unasikilizia tonge tu likipota kooni "chubwiii"

Hata kutafuna hutafuni
 
dagaa wabichi hao (mteke),
 
Kigoma acha kabisa mkuu, binafsi nimezaliwa na kukulia dar kabila (mmanyema) lakini marehemu Bibi alikua akija nyumbani basi lazima aje na zagazaga zote za kigoma.

Sasa, usiombe akaingia yeye jikoni kufanya mavuga, yaani ukisikia Ile harufu basi lazima njaa ikuume.

Like dagaa la chukuchuku alafu likakaushwa kwa kufunikwa na mkaa kwa juu ulipatie na ugali wa muhogo, na kisamvu Cha mawese. Mbona utavimbiwa bandugu .
We kweli wa kigoma hilo jina premji linanikumbusha Mzee seleman premji mbunge wa zamani kigoma mjini

We ni maniema wa kigoma? Karibu maniema huku RDC kwenye asili
 
Kwakweli siku moja nitajitahidi kitembelea huko, maana Mishe za town zimebana kinoma ukitoka lazima office ifungwe.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom