Uzi maalumu wa vyakula vya mkoa wa Kigoma (Dagaa na migebuka)

Wakazi wa vijiji vya Herembe, sigunga, kapalamsenga, Mgambo, Igarura au kibirizi, Mwamgongo watakua wanajua iki kitu.. kinaitwa MBANI hapo dagaa zinachomwa zikiwa na pilipili kichaa na chumvii moto wake usiuchezew wanjua
91c91c1683def3f396b47b5b40f80247.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Umeacha Sinuka, Kasuku, Katonga na Kalalangabo.

Vv
 
Daah Kwakweli pasingekua uchawi nisingehama kigoma
ddf98bde52da2f035a76cd4ae1199915.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Dogo, unataka kutuaminisha kuwa Kigoma yote ni wachawi? Mbona wengine tumeishi huko miaka mingi tu na uchawi haijuwahi kutupata?

Vv
 
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi kavu...

Haka kauzi ni maalumu kwa ajili ya kuonyesha chukala asilia cha watu wa kigoma.
KARIBUNI KIGOMA
12948c7414c76b525538f8d8ed70dc10.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hii itakua njia ya kwenda kibirizi, naiona ocean view kwa mbaliii
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom