Tuna
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,267
- 1,633
Mzanzi Mkuu.Africa Borwa ni wapi kiongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzanzi Mkuu.Africa Borwa ni wapi kiongozi?
Samahani Mkuu ni Afrika Kusini a.k.a Bondeni.Yani ni sawa na kuniamsha usingizini kabla sijafumbua macho ukanipiga kofi.
Umenihamisha maboya sana Mzanzi au Mwanza?😝
Mwanafamilia mwenzangu wa Arusha Tech ulikuwa unacheki Game mbosoli ground nini dah nime miss hio sehemu sana, Mi nilikuwa nakaa hio hio hostel juu kabisa 324
Zinakuja kwa order toka chinaHizi simu zinauzwa wapi bongo?