THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,176
- 1,863
hukupata picha yake mkuu?
Naionaga Mwanza muuza mabomba mmoja anayo, nzuri sanaKaribu hapa uweze kushare pamoja nasi picha za magari mazuri sana. Unaweza kuweka picha ya magari unayoyahusudu au una ndoto siku moja uweze kuyamiliki siku ukibahatikiwa kuwa Mond au laizer. Karibu sana tuburudishe macho na tuelimike.
Mimi naanza na huu Mnyama cadillac escalade nauelewa sana sana sema ndio hivyo tu....Mjomba alitaka kuniagizia TRUMP akabana loop hole.
View attachment 1812498
View attachment 1812500
View attachment 1812501
View attachment 1812509
Mercedes Benz Amg Class huu lazima nitaumiliki😂