Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Jamani leo acha na mimi niteme nyongo zangu maisha magumu aisee daaah

Yahn leo week ya pili inakatika kwenye wallet(mboli) sina mia kavu, geto sina mia kavu wala TIGO PESA.(baanua sakaru msemo wa chuo)

Mwaka huo unasogea tu mipango imepangwa kazi tunapiga lakini hakuna matokeo mapaka unakata tamaa na kupata sononeko la nafsi(mgogoro wa nafsi) hasa ukiona mtu anafanya matumizi ya kawaida kabisa lakini mimi naona jamaa anatumia pesa vibaya.

Wakuu vita ni vikali(mambo magumu).Nina visa vingi sana vya msoto wangu wa maisha vingne vinachekesha vingine vinahuzunisha na vingne sitokuja kuvisahau kama kimoja majuzi kati tu hapa mtoto wa miaka sita Ndio alinipa hela ya nauli(elfu moja) ya kurudi home baada ya kufatilia mchongo hafu mambo yakabuma.

Nisiwe msemaji sana ingawaje bado nipo frontline kupambana na hii vita na huyu bwana mkubwa pesa na nashukuru Mungu afya na uzima ipo safi

Wale watiaji moyo mje taratibu maana vijana tumevurugwa tunalala na hasira na kuamika na. hasira mambo unakuja kutia moyo hafu tunawaona nyuzi za bata mnajitanua mnatutia uchungu balaa kazi hamtupi tukiwafata PM zenu mnaulza jinsia.

Tupeni connections stranger waaminifu tupo.

Nawasilisha

Vita vikali.
 
Kuna hii pasi inaitwa c-tech

Anejua wapi naweza kuzipataa kaa bei jumla

Anipe connection
IMG-20210312-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom