DENLSON
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 944
- 1,252
Nitafute kwa biasharaPls wapi nitapata pilipili manga kwa bei nzr, mkoa upi zinapatikana sana
Nitafute kwa biasharaPls wapi nitapata pilipili manga kwa bei nzr, mkoa upi zinapatikana sana
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana
Weka mawasiliano kk, binafsi nahitaji huo mzigoNauza korosho grade 1.bei 15000/= kwa kilo.Dar
Habarini Wadau,
Natafuta mashine na supplies za kutengeneza chakula cha kuku ;
1. ya umeme ( three phase), isiwe na complications nying, iwe strong.
2.ya kawaia katika ku operate.
3. Soko litakaloniwezesha kupata raw materials kwa bei fair.( mahindi, pumba,n.k)
Karibuni kwa maoni
Njoo pm mkuu!Nafanya sacoss nukitoa laki inazaa Elfu 30 kwa mwezi
Twende tukanunue kamsamba mbozi huko mkoani songwe mpunga mzuri na soko lake lipo palepale la uhakika Sana! Ukiwa tayari nichekiNapenda sana kufanya Biashara ya kununua mpunga kilosa Morogoro, lakini sijui nianzie wapi niishie wapi? Mwenye kujua tafadhali.......
Nenda karume sokoni pale boma asubh saa kumi utapata mzigo wa kutoshaNaomba connection ya jinsi ya kupata viatu vya mtumba
Ukiwa tayari nicheki nikuunganishe na mtu yupo kariakoo duka la jumla atakupa viomboo kwa Bei Chee mpaka utashangaaNahitaji connection ya kununua vyombo kitchen utensils kwa jumla...
Thanks
Korosho za kukausha au mbichi?Nauza korosho grade 1.bei 15000/= kwa kilo.Dar
😂Ulitaka zipi kiongozi madini au
0687886600Weka mawasiliano kk, binafsi nahitaji huo mzigo
Za kukaushwa