Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wapi nitapata Laptop Used (ZILIZOTUMIKA NJE) Kwa bei ya Jumla kuanzia Pc 5+ naomba kuelekezwa wanapouzia na mawasiliano pia,

Muuzaji asiwe wa reja reja tafadhali .

Asante
IMG_20200626_021730.jpg
 
Wakuu mwenye kujua chimbo la vifaa vya electronics anijuze mana nataka kufungua chimbo la vitu kama sub ufa,flat screen,na vizaga kama vyote vya electonics,naomba mwenye kujua zaid machimbo na naweza anza na mtaji kiasi gan?natanguliza shukuran zenu nyote
Mkuu chimbo la vifaa vya electronics ni Uganda huku kuna vitu vya umeme sio poa yani daah afu og tafuta. Muda uende Uganda utafurahi mwenyew

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom