Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Natafuta mtu anaeuza maziwa mtindi ya kienyeji kwa bei nzuri angalau shillingi 500-600 kwa lita moja. awe mkoa wowote ule ambao una mabasi ya kuja Dar.
contact 0687886600
Bei iko chini sana ukiweza kufika 2000/ltr tuwasiliane nipo Moshi
 
Natafuta mtu anaeuza maziwa mtindi ya kienyeji kwa bei nzuri angalau shillingi 500-600 kwa lita moja. awe mkoa wowote ule ambao una mabasi ya kuja Dar.
contact 0687886600
Mimi nna maziwa mtindi natural kabisa ..1lt 3000 ..5L @15000 mpaka mlangoni nakuletea
 
Salaaams wakuu.

Natafuta connection ya kuagiza bidhaaa kama mapazia, mashuka (100% cotton), duvet, wardobes n.k kutoka china au thailand.

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom