Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Jipatie pipa za plastiki zenye ujazo wa lita 200 (kama zinavyoonekana pichani. Bei ya jumla kwa pipa ni 30000/= kuanzia pipa 20. Rejareja 35000/=. Tupo Kibaha msikitini (kituo kimoja kutoka kwa mathias/tanita)View attachment 1577919
IMG-20200921-WA0002.jpg
 
Ipo epson l382 yenye sifa zifuatazo
Inacopy, scan, na printi
10ppm (black) na 5ppm (coloured) 《ppm_ page per minute》
Size: A4 (maximum)
Total pages 13000 (black) 6500 (coured) kwa wino wa 100mls
Price: 400000tsh

Karibu sana mkuu
Naweza kuipata wapi hiyo mashine?
 
Wadau natafuta connection ya kulimisha kwa kutumia trekta. Yaani ni sehemu ipi kulipo na uhaba wa trekta na kuna kilimo kwa wingi. Nataka nipeleke trekta maeneo hayo ili niwe nalima mashamba ya watu kwa kukodisha. Msaada tafadhali
Upo wapi?
 
Kama hiyo 50k haitajumuisha usafiri sanaki watakuwa zaidi ya pc 55 ila kama na usafiri humo humo samaki wakuwa kuanzia 30 mpaka 42 pcs. Kwahyo n ww tu mkuu na mzigo huwa natuma kila daily
Samaki ukubwa gani mkuu?
 
117 Reactions
Reply
Back
Top Bottom