suma Nongwa
Member
- Sep 12, 2017
- 97
- 47
Mungu akutangulieasante sana mkuu kw msaada wako
Mungu akutangulieasante sana mkuu kw msaada wako
@Mshana JrWakuu nahitaji mwenye hizi pipa au mwenye connection kujua wapi naweza zipata kwa wingi na bei ya jumla .Natanguliza shukrani View attachment 1573142View attachment 1573143
Naweza kuipata wapi hiyo mashine?Ipo epson l382 yenye sifa zifuatazo
Inacopy, scan, na printi
10ppm (black) na 5ppm (coloured) 《ppm_ page per minute》
Size: A4 (maximum)
Total pages 13000 (black) 6500 (coured) kwa wino wa 100mls
Price: 400000tsh
Karibu sana mkuu
Uko mkoa gani mkuuNaweza kuipata wapi hiyo mashine?
Nipo KigomaUko mkoa gani mkuu
Kama una mtu hapa Dar unaweza kumuagiza au ukatumiwa kupitia mabasi ya mikoani. Karibu sanaNipo kigoma
Sawa mkuu.Kama una mtu hapa dar unaweza kumuagiza, au ukatumiwa kupitia mabasi ya mikoani. Karibu sana
Upo wapi?Wakuuu mimi nauza simu Original za Samsung(Mpya)jumla na Reja reja mwenye kuhitaji tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mawasilianoMkuu nnae mtu ye nimfanya biashara anauza jumla sangara anawasafirisha kwa wateja wake wa dar.hataki mtu mbabaishaji anahitaji mtu mkweli na muaminifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi?Wadau natafuta connection ya kulimisha kwa kutumia trekta. Yaani ni sehemu ipi kulipo na uhaba wa trekta na kuna kilimo kwa wingi. Nataka nipeleke trekta maeneo hayo ili niwe nalima mashamba ya watu kwa kukodisha. Msaada tafadhali
Kuna eneo wanatafuta njemba za kuchimba mitaro kimo cha mtu mzima mita 8 kwa saa 8, kama una mudu huo unyama tusanuane bablai!wakuu mimi sina mtaji mwenye kazi yoyote tu mm nifanye nipate kula....nipo Arusha
Oyaa chali wangu vipi? Kimeeleweka?Wakuu mwenye koneksheni yeyote ya biashara kwa mtaji wa M1 pesa taslim ya kitanzania ..anisaidie niko teyari kwa mkoa wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sato sangara?Mwenye kuhitaji samaki anicheki
Samaki vipi?
Samaki wabichi?Anaye taka connection ya samaki wa mwanza ni pm, mtaji ni kuanzia 50,000 tu. Nakutumia mzigo na watakulipa mno
Samaki ukubwa gani mkuu?Kama hiyo 50k haitajumuisha usafiri sanaki watakuwa zaidi ya pc 55 ila kama na usafiri humo humo samaki wakuwa kuanzia 30 mpaka 42 pcs. Kwahyo n ww tu mkuu na mzigo huwa natuma kila daily