Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nauza vitunguu swaumu grade A kutoka Manyara kwa bei ya jumla gunia kg 100 nauza tzs 450k sample nakutumia kwa gharama zangu kwa Dar~es~salaam na mikoani utanipa details za usafiri wa huko then nitakutumia sample, nipe connection upate commission...Karibuni
Nipe namba yako mkuu.
 
Je wahitaji viatu vya KIMASAI OG kwa jumla na reja reja bas usihofu
Tunauza viatu vya kimasai kwa bei ya kiwandani

Jumla ni shilingi 5000 tu

Reja reja ni shilingi 7000 tu

Tunapatikana mwenge na mikoani tunatuma bila shida yyte

Wasiliana nasi call/whatsap 0672904720
View attachment 1537747View attachment 1537748View attachment 1537749View attachment 1537750View attachment 1537751View attachment 1537752
IMG-20200804-WA0073.jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
zipo ndizi za kutosha mkoa kagera tunahitaji mwekezaji tushirikiane kumenya na kukausha kwa matumizi ya baadae na kusaga unga kutengeneza bidhaa mbalimbali ,maganda ya ndizi pia yanatengeneza gesi kama kinyesi cha ng'ombe.mradi huu unalipa sana pia wa kudumu, hivyo ndizi kavu zitasafirishwa kama makopa hadi kiwandani.vifaa vya kumenya vinapatikana mitaani hapa na kenya kutoka china,Tafadhali wasiliana nasi 0623225404
 
Tunafanya Human Resources consulting kwa makampuni madogo kwa makubwa.

Nipigie 0763600984 kwa maelezo zaidi
 
Earphones kali na zakijanja ni 70k zina bluetooth napatikana dar es salaam... Mkoani pia natuma. Contact 0768689812
WhatsApp 0654859448
 
zipo ndizi za kutosha mkoa kagera tunahitaji mwekezaji tushirikiane kumenya na kukausha kwa matumizi ya baadae na kusaga unga kutengeneza bidhaa mbalimbali ,maganda ya ndizi pia yanatengeneza gesi kama kinyesi cha ng'ombe.mradi huu unalipa sana pia wa kudumu, hivyo ndizi kavu zitasafirishwa kama makopa hadi kiwandani.vifaa vya kumenya vinapatikana mitaani hapa na kenya kutoka china,Tafadhali wasiliana nasi 0623225404

Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata elimu, ajira na kipato kuelekea hatua ya Viwanda.

Miradi ipo katika mkoa Kagera, na ipo katika hatua ya mwanzo kwamba imekamilika kuanza,hivyo tunahitaji wabia kushirikiana kupata mitaji na uendeshaji bora kuinua kipato. Miradi tajwa ina fursa pana ya uwekezaji katika mkoa Kagera na imeandaliwa kwa misingi ya kuanzia kuinua kipato katika ngazi ya Kaya kupunguza umaskini katika jamii. Mueleze mwenzio taarifa hii ni ya haraka sana.

Vinahitajika Viotamizi na mashine za usindikaji mafuta na chakula cha mifugo pamoja na mtaji wa fedha.

Kwa maelezo zaidi wasiliana:
Mwenyekiti mtendaji
Kagera Edible Oil Mills
P.O.BOX 97,BUKOBA
+255763031988/0784891188/0623225404. email kageraedibleoil@gmail.com

Quote Reply
Report Edit
 
Back
Top Bottom