Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu,
Baraza nawasalimu.
Mimi natafuta connection ya mnunuzi wa shamba langu naliuza lenye ukubwa wa kama eka 3 maeneo ya Kemondo Bukoba Nipigie tu simu no. 0714546938
 
Maharage yako aina mbalimbali so na bei zinatofautiana kulingana
-aina ya maharage
-ubora wa maharage husika kwa maana ya super na kawaida
... Ila kwa maharage yenye beii kabisa ni tsh38000 debe yaani hiyo ndo first quality na kipenzi cha wateja
Hiyo bei hailipi kiongozi
 
117 Reactions
Reply
Back
Top Bottom