Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nahitaji kupata masoko ya wanunuzi wa mabucha ya samaki sato,sangara,kamongo na kambare wenye uhitaji wa kuanzia kg. 100 nakuendelea kwa mikoa ya Dar ,Morogoro,Dodoma,Mbeya,Arusha,Kilimanjaro na mikoa mwingine. Samaki wanatoka kanda ya ziwa wateja wewe waaminifu.
 
Naomba nipewe connection ya kufanya wiring kwenye nyumba,kuweka CCTV Camera,electrical fence,kupaka rangi nyumba,kutoa popo kwenye nyumba kwa kutumia dawa za asili,kufunga A.C.
 
Nahitaji kupata masoko ya wanunuzi wa mabucha ya samaki sato,sangara,kamongo na kambare wenye uhitaji wa kuanzia kg. 100 nakuendelea kwa mikoa ya Dar ,Morogoro,Dodoma,Mbeya,Arusha,Kilimanjaro na mikoa mwingine. Samaki wanatoka kanda ya ziwa wateja wewe waaminifu.
Nahitaji kamongo na Kambale. Nina bucha Dar
 
Natamani sana kuendesha magari makubwa (semitrera) Naomba mwenye connection tafadhari hata kama ni kwa malipo

Natanguliza shukran
 
Sijajua bei ya uko ipoje, mara nyingi muuzaji utaja bei kisha mnunuzi ubargain
Kwa huku musoma unamnunua Kamongo na Kambale kwa kichwa (mnapatana bei) siyo kwa kg. ukiniambia nikupe bei nitajidanganya. Mfano kwa hiki kipindi wanaanza kuwa wengi. Na kuna muda mtu unanunua kg. 100 kwa mapatano kwa mlanguzi.
 
Kwa anatehitaji mbao za mlingoti uliokomaa,mwekundu za kutengenezea furnitures,frem za mirango nk.anicheki Niko mufindi,mafinga.hata ukitaka mbao pines pia zipo mbao,you just press your order n you will served accordingly
 
Back
Top Bottom