Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Mi nahitaji kijana wa kike kwa ajili ya kuniuzia duka la nguo.

Sifa:Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,mwaminifu,asiye na tamaa na mali zisizo zake,ambaye hajazaa,awe tayari kufanya kazi Dodoma mjini.
Sifa za ziada:Awe mzuri kimuonekano,awe mchangamfu kwa wateja,anayejipenda mwenyewe na awe muumini wa dini yoyote

Malipo:Mshahara ni mzuri kumuwezesha kijana kuishi vizuri na yatafanyika kupitia account ya kila mwezi

Kwa aliyetayari nipm
 
Back
Top Bottom