Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

Mimi natafuta connection ya Kazi yoyote ya halali iwe tempo au permanent.
Taaluma yangu ni ualimu wa secondary History na kiswahili.

Niko flexible naweza kufanya Kazi yoyote inayonipa nafasi ya kujifunza na kudapt mazingira
 
Una experience ya miaka mingapi
 
nina experience ya miaka 3 katika fani ya uhasibu msaidizi..
Nipo tayari kufanya kazi sehem yeyote ndani na njee ya Tanzania
 
Binafsi ninaomba Mwenye connection na kazi za research au projects anisaidie. Kazi niliyonayo ni uncertain KWA 100%
Mlioko vyuoni tafadhali sana naomba msaada.
Pia connection ya kufundisha chuoni research methodology na development studies ninaomba anisaidie.
Mkoa wowote nipo tayari.
Niko zaidi ya serious.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Mimi natafuta connection ya Kazi yoyote ya halali iwe tempo au permanent.
Taaluma yangu ni ualimu wa secondary History na kiswahili.

Niko flexible naweza kufanya Kazi yoyote inayonipa nafasi ya kujifunza na kudapt mazingira
Unaweza kulima ??
 
Natafuta connection ya kazi
Nina bachelor of social work
Mwenye connection aniunganishe nami jamani
 
mwenye connection pls

nina diploma in procurement and logistics management na experience ya kuuza vipuri (parts) vya pikipiki.(duka/store)
naweza kufanya kazi store, warehouse, transportation and distribution na sehemu yoyote tu.
nina uwezo mzuri wakutumia computer
mm ni mwaminifu na mwenye hofu na mungu pia.
nko arusha kwa sasa
 
Natafuta kazi yoyote ya halali, kijana wa miaka 24, Elimu kidato cha nne, nipo Dar, Muaminifu, na mchapakazi, nitafanya kazi kwa bidii sana. Nashukuru
 
Back
Top Bottom