Uzi maalumu wa kujuzana bei za vifaa vya magari

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Wengi wetu tumekua tunamiliki magari, ila hatujui vifaa wala bei mwishowe tunaishiwa kupigwa, huu uzi ni maalum kwa ajiri ya kujua bei za vifaa.

Uliza bei ya kifaa ujibiwe, kutana na watu mbali mbali wenye uzoefu na magari.
 
Anza wewe kuweka bei
 
Back
Top Bottom