the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,048
Manula ni kweli ana madhaifu yake, ila kwa ile game ya juzi sio ya kumlaumu. Wale jamaa wanajua sana kutumia 'set pieces', ni moja ya strength zao. Ndio maana wakiwa kwao huwa wanacheza sana mpira wa kasi ili kulazimisha beki ifanye makosa ya kutoa faulo au kona. Na hili suala hata zahera wa yanga alisema simba iwe makini nalo sana, ikumbukwe huyu zahera pia ni kocha msaidizi wa Congo (kocha mkuu ni ibenge wa Vita). Ile siku karibu kila battle ya mtu mmoja mmoja tulikua tunapoteza. Tukimlaumu manula tunamuoneaManula mipira ya Kona, Kross hata set piece sio mzuri na wale wa Misri ni wazuri sana, wana beki yao hiyo Kolibaly anapiga vichwa, mechi ya mwanzo na Vita katika mipira minne kipindi cha kwanza ya Kross mitatu alicheza yy japokuwa hakufunga lakini ilikuwa ya hatari. Huyu Manula wenu anatakiwa awe makini au mtafutieni mbadala wake, si mliona mechi na Vita watu wapiga free header mbele ya kipa na beki. Pili Simba iwaandae wachezaji kiakili, waarabu wanajua kucheza na akili ya refa nazani mliona mechi ya Vita refa alivyowaua na jamaa hawakupanic, walicheza mpira mwanzo mwisho, sasa nyinyi mvurugwe kidogo mkipanic, mnakula wiki.
the Legend☆