Habari wadau,
Naomba tuungane mashabiki wa simba, na timu zingine Tanzania ambao ni wazalendo, tushauri timu yetu.
Wote tunajua fixture ya simba inayofata ni ngumu sana kuliko iliyopita.
Maana tarehe 2 anaenda misri kucheza na kigogo cha africa al ahly na baada ya wiki moja anarudi dar es salaam na kurudiana na kigogo hiko cha africa taifa.
Kucheza na al ahly mechi mbili mfululizo sio shughuli ndogo kwa tunaojua mpira..
Maana mziki ni mnene kuliko As vita, mnene kuliko mazembe, mnene kuliko enyimba.. mziki ni mnene hasa.
Maana al ahly wana kila kitu.. wachezaji wazuri, pesa nyingi, wanabebwa na caf, mashabiki wenye zengwe, yaani kila kitu.
Je kocha atumie mbinu zipi?
unakaribishwa kushauri. Nina imani kocha atausoma humu