Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Mkuu hio mashine nilikuwa nayo ikaanza wenge nilipoenda kwa fundi akasema zijisha print page 2000 mpk 2500 huwa zinaanzaga kufa chakufanya ni kuchukuwa mpya tu maana kuitengeneza ni 250000 na mpya nilinunua 380,000 natarajia nunua nyingine mwezi wa 1 mwakani

Epson printer kwa laki tatu??????
Mmh hiyo ni used sana au? Aiseeee
 
Umeshafanikiwa?

Hiyo itakuwa ni paper jam angalia screen ya computer inasema nini lazima kuna massage inatoa ukichomeka waya wa printer kwenye computer!

Hiyo printer haijatengenezwa kutoa copy wala ku scan bali ni ku print tuu hivyo sio tatizo bali imeundwa hivyo!
 
000_0000
Turn the main power off and on. If the device does not recover, contact your deale or service representative.

Wadau kuna anayejua kutatua tatizo hili kwenye epson 2206?
 
Hiyo itakuwa ni paper jam angalia screen ya computer inasema nini lazima kuna massage inatoa ukichomeka waya wa printer kwenye computer!

Hiyo printer haijatengenezwa kutoa copy wala ku scan bali ni ku print tuu hivyo sio tatizo bali imeundwa hivyo!
Uko sure l382 haiscan wala kutoa copy?
 
Hivi iktokea ukafungua na ukaziosha ink pad Kisha kuzikausha.Kuna Madhara?
Utakua unazungumzia zile sponge zinazonyonya wino mchafu. Si ndio? Kama ni hivyo hakuna madhara lakini zitasinyaa kiasi. Best solution ni kuzisafisha kisha zisitumike tena. Hapa unatoboa sehemu ya nyuma ya printer kisha unapotisha mrija nje kwaajili ya kumwaga wino mchafu
View attachment 2081824
 
Nataka ninunue epson l805 sijui kwa mwanza ni bei gani
Vitu vinapanda na kushuka,Wakati nanunua Mimi mwaka 2018 zilikuwa 1.2M, mwaka juzi nilinunua kile kipindi Cha korona imepamba Moto ilikuwa 1.1 , Bei ya kuanzia , nadhani Bei inarange kwenye 900K -1.2M kwa mwanza.

Ila hizi mashine zimekuwa mbovu Sana,sinawahi kuharibika,ya kwangu ya mwaka 2018 toleo jipya haijawahi nisumbua,ila Kuna jamaa zangu wamenunua baada ya kuzoeleka sokoni zinaharibika mapema Sana.

Hebu angalia Kam kuna toleo jipya
 
Mkuu em nisaidie kwa mawazo aisee kwahiyo nichukue ipi ambayo haiwahi kuharibika? Ila hiyo 900000 mpaka 1.2m ipo juu sana maana kwa Dar ni 650000 mkuu.
 
Mkuu em nisaidie kwa mawazo aisee kwahiyo nichukue ipi ambayo haiwahi kuharibika? Ila hiyo 900000 mpaka 1.2m ipo juu sana maana kwa Dar ni 650000 mkuu.
Sidhani kama kwa far Ni hiyo Bei,Kuna jamaa mwaka. 2020 aliagiza dar kwa sh 800K
 
Back
Top Bottom