Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

*************&&&&&&&&&&***********&&&&&&&&&************&&&&&&&&&************
Kwa wanaohitaji ku-reset ink pad counter wasiliana namimi PM bei inategemea na model ya printer kuna za bure pia kama printer yako itaangukia kwenye kundi la bure nitakupa bila gharama.

Au ukikutana na hii message hapa chini nicheki,

569c8df34ab67.png
 
Na kama mtu akishanunua waste ink pad mpya na kuzi_replace za awali,
Anahitaji key kwa ajili ya kureset?
Kwenye printer za epson kuna pad ipo ndani ipo upande wa chini wa printer kuonekana mpaka ifunguliwe, ink inayotumika kusafisha nozzle & head huenda huko kama waste ink, inafika kipindi hujaa(huambatana na error message ya End of service life) kuna counters zinahesabu na kukadiria kulingana na idadi ya printed pages, hivyo huitaji kubadilishwa ili kutoleta madhara ya waste ink overflowing, sasa badala ya kuweka pad mpya unaweka mtungi wa nje utakaotumika kukusanya waste ink.

Namna ya kuweka inategemea na model ila procedure hufanana maana kuna outlet inayotoka kwenye pump humwaga huo wino kwenye pad, sasa hapo hufanyika tapping na kufungwa mrija utakaoenda mpaka nje ya printer na kisha kwenye chupa, hapo utakua umeondoa hitaji la waste ink pad.

Waste ink pad ni kama hii
View attachment 1219113

Sehemu inayofungwa ya kutolea nje
View attachment 1219115

Angalizo:
kufanya hili zoezi ni lazima printer ifunguliwe, sio kila mtu ni mzoefu wa kufungua printer, kuepuka kuharibu printer yako ni vyema ukapeleka kwa fundi akufanyie zoezi hili.
 
Na kama mtu akishanunua waste ink pad mpya na kuzi_replace za awali,
Anahitaji key kwa ajili ya kureset?
Ku- reset tena mpaka counter ifikie tena kiwango ambacho printer itahitaji kubadilishwa pad tena, na counter haiangalii number za pages tu ulizo print inaangalia vitu vingine kama idadi ya head cleanings na initial ink charging imetumika mara ngapi in short kuna algorithm inatumia kujua kwamba ni muda wa service kwa hizo factors tajwa.
 
Unapatikana wapi?
 
Niko na Epson projector , haitoi mwanga kabisa ,,na nilinunua mkononi kwa mtu, je tatizo yaweza kuwa nn? Na inaweza kaa mkao mzuri wa matumizi?
 
Niko na Epson projector , haitoi mwanga kabisa ,,na nilinunua mkononi kwa mtu, je tatizo yaweza kuwa nn? Na inaweza kaa mkao mzuri wa matumizi?
Possibly Bulb imekufa, kama wapo wataalam watakusaidia, pia kupatana naonaga matangazo ya wauzaji wa bulb jaribu kupita na huko unaweza kutana na mafundi wakatatua shida yako.
 
Eleza shida ni nini hata mawazo pia ni msaada, pia kuna mafundi wanapita humu kama msaada unaweza pata pia.
Sawa.
Nina Epson l850 inatoa copy karatasi nne tu .baada ya hapo inasema kuna paper imejam na inaendelea kutoa maelekezo ya kutoa hiyo karatasi wakati hakuna karatasi yoyote iliyo nasa..
Ukizima ukawasha inaendelea kupiga kazi kama kawaida..hapo mkuu tatizo nini?
 
UMEITUMIA KWA MUDA GANI KABLA YA KUANZA HILO TATIZO?
 
Sawa.
Nina Epson l850 inatoa copy karatasi nne tu .baada ya hapo inasema kuna paper imejam na inaendelea kutoa maelekezo ya kutoa hiyo karatasi wakati hakuna karatasi yoyote iliyo nasa..
Ukizima ukawasha inaendelea kupiga kazi kama kawaida..hapo mkuu tatizo nini?
Kuna sensor inakua triggered kimakosa na kuonyesha kuna paper jam, hilo tatizo ni common kwa baadhi ya epson printers, peleka kwa fundi waangalie, ninachoona baada ya printer kuvuta paper 4, kwenye hiyo mechanism ya paper jam sensing inajibiziba kimakosa hivyo inatakiwa kirekebishwe.
 
Kuna sensor inakua triggered kimakosa na kuonyesha kuna paper jam, hilo tatizo ni common kwa baadhi ya epson printers, peleka kwa fundi waangalie, ninachoona baada ya printer kuvuta paper 4, kwenye hiyo mechanism ya jamming inajibiziba kimakosa hivyo inatakiwa kirekebishwe.
Yaani niko discouraged sana na mafundi wa hapa mjini .sijawahi kumpata fundi wa printer akafanya kazi 100% ikafaa.Nina mashine yangu Ricoh mpaka Leo nimeiweka mafundi zaidi ya watatu wanakuja nawalipa lakini mwisho wa siku sipati solution zaidi ya kupoteza pesa

Ndo maana nilivyoona umeongea technical logical nikakukubali
 
Back
Top Bottom