Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

This morning will never ever come back in your life again. Get up and make the most of it. Good morning.
The happiness of your life depends upon the quality of your thoughts. So think Happy and Positive.

Good morning cha mdeko
 
If you haven’t been able to achieve something, today is the best time to start working towards it again. Good morning.
It's not possible to make everyone happy, but it's possible to be happy with everyone!

Good Morning cha mdeko
 
It's not possible to make everyone happy, but it's possible to be happy with everyone!

Good Morning cha mdeko
Success is not just a measure of how big you can DREAM, it is also a measure of how much you can DO. Good morning.
 
Kwako Mwifwa

Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.

Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.

Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.

Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.

Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.

Demiss (Cha mdeko)
Morning demiss God be with you
 
Hapanaila anaweza kupitiwa akalala sana
Ni wikiendi nyingine tena ambayo ni tofauti na iliyopita na ijayo.

Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufika hii siku ya leo.

Mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo zuri ama baya kwa siku ya leo.

Asubuhi njema cha mdeko
 
Kwako Mwifwa

Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.

Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.

Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.

Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.

Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.

Demiss (Cha mdeko)
Cc. Inna have a wonderful day my dear
 
Ni wikiendi nyingine tena ambayo ni tofauti na iliyopita na ijayo.

Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufika hii siku ya leo.

Mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo zuri ama baya kwa siku ya leo.

Asubuhi njema cha mdeko
Ni kweli hatuna budi kumshukuru Mungu. sana sana mimi maana.....
 
Back
Top Bottom