Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 261
- 295
Wale wapenzi wa divai au wine mnakaribishwa kushare experience yenu katika ladha tofauti tofauti za divai na ipi ni favorite kwako.
Divai (kutoka Kifaransa du vin) ni kileokinachotengenezwa kwa majimaji ya zabibu.
Pengine inaitwa pia: mvinyo (kutoka Kirenovinho), ingawa jina hilo linaweza kutumika kwa vileo vikali zaidi.
Inawezekana kutumia pia majimaji ya matunda mengine ili kupata kinywaji cha kufanana ingawa watu wengine hawapendi kukiita "divai".
Aina mbili zinazotengenezwa hasa ni divai nyekundu na divai nyeupe.
Divai nyeupe hupatikana kama maji ya zabibu pekee huchachua. Divai nyekundu inapatikana kama tunda lote yaani maji pamoja na maganda huchachua.
Kuna aina za divai za kuchemka yaani zinatoa viputo vya gesi vidogovidogo. Maarufu kati ya divai hizo ni shempeni kutoka mkoa wa Champagne katika Ufaransa.
Iliingia pia katika dini za Misri, Babeli na Ugiriki ya Kale. Osiris (Misri), Dionisi (Ugiriki) na Gilgamesh (Babeli) walikuwa miungu iliyohusika na divai ama kwa kuileta kwa binadamu au kwa kulinda kilimo chake.
Katika BibliaEdit
Katika Biblia Nuhu anatajwa kama mnywaji wa kwanza wa divai. Katika kitabu cha Zaburidivai ni ishara ya furaha, kwa kitabu cha Mithali ni dawa la mwenye huzuni lakini kuna pia maonyo dhidi ya hatari za ulevi.
Kitabu cha Yoshua bin Sira (31:27-29) kinasema: ”Kwa wanadamu mvinyo ni kama maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu. Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha. Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fedheha, na ugomvi.”
Katika Agano Jipya Yesu anatumia divai na mzabibu kama ishara za uzima wa milele na pia kwa umoja wa watakatifu. Jinsi ilivyo katika Uyahudi kwenye ibada ya jioni ya Sabato, divai ni sehemu za ibada ya Ekaristiau chakula cha Bwana.
Katika UislamuEdit
Uislamu ni dini ambamo wafuasi wengi hupinga divai pamoja na vinywaji vya kileo.
Qurani yenyewe ina matamko mbalimbali juu ya divai. Mizabibu ni sehemu ya uumbaji wa Allah (sura 16, 10-11), kwenye Paradisowaumini watakuwa na maji, maziwa, divai na asali tele (sura 47,15). Sura 2,119 inaona pande mbili kwenye divai: "Wanakuuliza juu ya divai (Kar. khamar)[1] na kamari. Sema: Katika hivyo mna madhara makuu na manufaa kwa watu. Lakini madhara yake ni makubwa zaidi kuliko manufaa yake." Katika sura 5, 90-91 divai hutajwa kama uchafu na kazi ya shetani.
Aya hizi zinachukuliwa na wataalamu wengi kama kupiga marufuku divai na kileo kwa jumla; wataalamu wachache huona ya kwamba Qurani haitumii neno "haramu" kwa hiyo wanataka kupiga marufuku si divai yenyewe lakini kiasi kile kinacholeta ulevi. Hoja la kupiga ulevi wote marufuku limekuwa hoja kuu kati ya Waislamu; inaonekana pia katika hadithi kadhaa za mtume Muhammad
Kwa Mimi nimekunywa wine tofauti ila pearl bay wine ni the best na alcohol yake ni ndogo sana.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app