javascript ndo nnhabarii mkuu nataka niaze soma node.js iv ni lazima kuisoma na express.js au node pake angu inaweza nisaidia kufanya vitu
Mimi ni mpenzi WA Javascript front-end natumia reactJs library and back-end natumia node.js with express.js
Kama we ni mpenzi wa Javascript and it's framework uje hapa tubadilishane ujuzi.
Namna ipo, hamia kwenye TS.Kuna watu seriously wanaipenda javascript? Na makandokando yake yote? Ninachojua tunaivumilia tu kwasababu hatuna namna.
Kuna watu seriously wanaipenda javascript? Na makandokando yake yote? Ninachojua tunaivumilia tu kwasababu hatuna namna.
Jaribu Typescript au DartKuna watu seriously wanaipenda javascript? Na makandokando yake yote? Ninachojua tunaivumilia tu kwasababu hatuna namna.