Uzi maalumu kwa wapenzi WA Javascript na framework zake

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
8,870
9,663
Mimi ni mpenzi WA Javascript front-end natumia reactJs library and back-end natumia node.js with express.js
Kama we ni mpenzi wa Javascript and it's framework uje hapa tubadilishane ujuzi.
dd65b7f54c3c175f344a0cbfab366626.jpg
 
What is components and routing in real project?
Mimi ni mpenzi WA Javascript front-end natumia reactJs library and back-end natumia node.js with express.js
Kama we ni mpenzi wa Javascript and it's framework uje hapa tubadilishane ujuzi.
dd65b7f54c3c175f344a0cbfab366626.jpg
 
Kuna watu seriously wanaipenda javascript? Na makandokando yake yote? Ninachojua tunaivumilia tu kwasababu hatuna namna.
 
Kuna watu seriously wanaipenda javascript? Na makandokando yake yote? Ninachojua tunaivumilia tu kwasababu hatuna namna.

Tumia TypeScript, inasaidia sana kwenye kurekebisha hayo makandokando, hamna namna ya kukwepa JavaScript, kuna jitihada kwa mfano WebAssembly ila itachukua muda mrefu kabla kuja kutumika kotekote.
 
Ama kwa kweli JavaScript imetoka mbali, nakumbuka enzi zile kitambo ilivyokua tunaandika vanilla JS, na pia ilikua na ushindani dhidi ya VBscript na JScript, hatimaye ikaibuka mshindi.
Leo yaani unaweza ukaandika mfumo wote frontend na backend kwa kutumia JavaScript.....
 
Mi natumia Vanilla JS, jQuery, React, Vue JS, Alpine JS na sasa hivi najifunza Deno JS, kila framework natumia kulingana na mahitaji yake
 
Back
Top Bottom